Watakutana na Uruguay kwenye ndege labda 🤣🤣🤣🤣Na ecuador je watakutana na nani au ndo imeisha hyo?
Kwenye mpira lolote linawezekana, km wakiamua wanawezaBoss wa Nani wapi ?
Walimfunga Mfaransa ambae ndio kama aliwalea na karibia wote kina Al Hadj Diof walipitia kwenye academy za Ufaransa...., Anyway inategemea wakicheza kwa kujiamini England hatishi ila wakiingia kwa kupaki basi, mechi ijayo waende na mabegi yao wameshapaki...
WametolewaNa ecuador je watakutana na nani au ndo imeisha hyo?
Mwaka gani?Nilishangilia sn hili goli, Aendelee kupumzika kwa amani
😁😁😁😁! Wakwendreeeeee! Senegal Hooouuuuyyyeeeee 💃💃Watakutana na Uruguay kwenye ndege labda 🤣🤣🤣🤣
Kwani England amefuzu si bado mpaka ashinde game na WalesUingereza na Senegal patachimbika.
Jamani si nikashndwa mana presha ilikua juu kwakwel baada ya ecuador kusawazisha tu nkaacha kuangaliaHujanipa update yeyote
Kwamba [emoji23][emoji23][emoji23]Senegal watangulize mabegi airport mapema tu
Yanii nilichizi dear uwiiiii!Senegal oyee
wapo vizuri 😍😍
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe inafanya kazi kweli,si unaona tumefuzu sasaPole jikaze kiume nimebana mno pumbu
au ulibet?Naam now its over !!! 🙂, Uchelewi kudhani mpira umekwisha kumbe ulikuwa unaota, nilikuwa bado ninahakikisha....
Kushabikia mpira kunahitaji ujasiri ujueJamani si nikashndwa mana presha ilikua juu kwakwel baada ya ecuador kusawazisha tu nkaacha kuangalia
Tia maji sana Senegal. Sio ile ya kwenye mashindano ya AfricaSenegal ameshinda lkn bado mpira hajaonyesha Ecuador wamempa tabu. Huko mbele ni kugumu.
Hata wangebebwa hawa inaonesha wasingebebekaQatar bwana. Useless host [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Apana mara mbili kwa ihefu na SenegalHazijapasuka kweli [emoji28]
Ecuador keshatokaNa ecuador je watakutana na nani au ndo imeisha hyo?
Hakika Watumie nafas tu wakiweza force hata kwnd matuta..yeyote anapita.Wakirekebisha, hata huyo England [emoji1022] hachomoki.