Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
2002Mwaka gani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]imeisha hyooooWatakutana na Uruguay kwenye ndege labda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikinyingine jikazeJamani si nikashndwa mana presha ilikua juu kwakwel baada ya ecuador kusawazisha tu nkaacha kuangalia
Ofcozzz!!Same here ila ndo hivo we deserved to win this game[emoji3]
Kwa morroco nitafunga kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe inafanya kazi kweli,si unaona tumefuzu sasa
Basi Kilichobaki ni kuwaombea njaa england,wales watushangaze basiWametolewa
Sana,leo ndo meelewa kwann mwanaume akifungwa anapata hasira za kweli kweliii,nlifkr mnajifanyishaga kumbe duh aloooo so poa,yataka moyo.Kushabikia mpira kunahitaji ujasiri ujue
Team WalesLeo timu yangu England inaingia dimbani na ndugu zetu Wales.
Tuwe pamoja mpaka tamati.
Kwa goli 7-0Basi Kilichobaki ni kuwaombea njaa england,wales watushangaze basi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapana we bana tu inatoshaKwa morroco nitafunga kabisa
Equador kesho watakuwa kwenye basi la mapema sana kuelekea kwaoNa ecuador je watakutana na nani au ndo imeisha hyo?
pole dearYanii nilichizi dear uwiiiii!
Ili ujue kufungwa kunauma wazoom Yanga leoSana,leo ndo meelewa kwann mwanaume akifungwa anapata hasira za kweli kweliii,nlifkr mnajifanyishaga kumbe duh aloooo so poa,yataka moyo.
Wote wa AfricaHi mechi ya Senegal ilinifanya nahama hama kwenye kochi..[emoji3][emoji3][emoji3] mie mtanzania nilikuwa na wasiwasi vipi wenyewe Senegal
Yatapasuka mkuu hayanaga spair[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapana we bana tu inatosha
Asante yanii😍pole dear
kikubwa tumeshinda
Sasa hao ni wazungu au waswahili wenzetuAfrica sisi kwa sisi tunawezana
Ila tunapokutana na ngozi nyeupe unyani wetu huonekana kirahisi [emoji16]