Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mendy wetuu
Njoo tulaleUsingizi 🥲
Kwann iwe leo mbona walivoanza haikua hvoWanahofia match fixing ndo maana
Kanawe uso
Mpira Gani mnaoangalia nyie? Sisi tupo na baba lao USA akimfundisha mpira Muajemi.
Niseme tu ukweli, zile dk 6za nyongeza nilihisi ni lisaa lizima, tulianza kuandamwa, mara kona, mqra foul ndani ya dk 1 ya mwanzo ya nyongeza. Nikajisemea hapa tunaoneshwa Airport ilipo.Senegal tunaomba mlinde goli jaman
Ngoja tuone Allah yupo na Iran leo baada ya Saudia kuangukia pua, sasa tuone Iran atatoboaHawa wairan mpira wamejifunzia wapi wanapiga hadi visigino 😛
Weka miguu kwenye beseni la majiHahahha me pia nasnzia hatar,af zote zpo mda mmoja
Njoo tulale
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah mateso kama npo shuleWeka miguu kwenye beseni la maji
Nimerejeaa japo kwa tabu Sana [emoji38] haya tuendeleee mm Niko USA na UK
Nani anatazama ya USA
Hyo game ndio naitakaMpira Gani mnaoangalia nyie? Sisi tupo na baba lao USA akimfundisha mpira Muajemi.