Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nimerejeaa japo kwa tabu Sana [emoji38] haya tuendeleee mm Niko USA na UK

Nani anatazama ya USA
 
Senegal tunaomba mlinde goli jaman
Niseme tu ukweli, zile dk 6za nyongeza nilihisi ni lisaa lizima, tulianza kuandamwa, mara kona, mqra foul ndani ya dk 1 ya mwanzo ya nyongeza. Nikajisemea hapa tunaoneshwa Airport ilipo.

Nafuu nilikuja kuiona kwenye dk ya +5 alipoumia mchezaji wa Senegal na akalala kwa muda hatimaye dk zikaisha
 
Muda si mrefu kanawadondokea marekani
89e594ea2a8101ba47e6b73390ca6d40.png
 
Back
Top Bottom