Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Wales na England...Wanaonesha mechi gani?
Anapelekeshwa kama mtoto mdogo. Wana bahati sana wangeshakuwa chini kwa goli 3 hiviIran imekuaje tena dahh [emoji22][emoji22]
Wauza drone mbona niliwambieni mapema kuwa hamna kituIran imekuaje tena dahh [emoji22][emoji22]
Wakweendrre salama 👋Iran anatoka leo
Depal njoo ukalale huku kwanguNavyosinzia sasa 🥹
Angalieni mechi ya USA vs Iran. Kali sana na nzuriWales na England...
Anachezea jina. Sioni kama ni mchezaji wa kiwango.Ila kwa huyu jamaa Weah, USA wamepigwa peupe kabisa.
Yanii ngoja 2nd half niangalie hukoAngalieni mechi ya USA vs Iran. Kali sana na nzuri
HatariiiiiiiiiEngland wanasubiriwa na Senegal kwenye round 16, hi mechi itakuwa balaa
Nikajua ni kwangu tu[emoji1787][emoji1787]Tunaoangalia Tbc1 Tunateseka sana inaganda sjui tatizo nini
Huyo Hana tofauti na Kane wa EnglandIla kwa huyu jamaa Weah, USA wamepigwa peupe kabisa.
Kila mtu anasababu yake inayomgusa kwanini ashabikie timu za mataifa mengine wakati taifa lake halishiriki
Mi nashangilia USA hawa ndio wanaotupa misaada ya ndomu kupunguza maambukizi ya ukimwi
Mwaka huu kiatu atavaa hicho hcho chake[emoji23]Harry Kane bado hajafunga goli lolote so far kwenye WC hii
Bora wangeweka tu taarab za kumsifu Rais kama janaTbc1 kwanini mnatufanyia hivi jamani? kwani hamkujipanga kutuonyesha