Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

[emoji1022]󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 wananiuzi mnoooo, kwann wanakubali kuburuzwa na 2nd wakoloni? Aaaaah wananikera sanaaa
Kumbe upo unatuderee haya niambie upo upande gani najuwa unawapendelea wazungu [emoji23]
 
Rais wa FIFA, Infantino yupo uwanjani akifurahia burudani safi ya mabingwa tarajiwa.

Anaangalia namna ya kunong'onezana na wachezaji atakavyokuwa anawavalisha medali za dhahabu.

Utasikia anamwambia Rashidi, ile tobo ulifanya sifa na wewe. Wachezaji wawili? Hahahahaha
 
Kumbe upo unatuderee haya niambie upo upande gani najuwa unawapendelea wazungu [emoji23]
Team yangu ni [emoji629].

Ila leo nlitaka [emoji1022]󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 awatoe hawa [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 kaniboaa mnooo.
 
Team yangu ni [emoji629].

Ila leo nlitaka [emoji1022]󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 awatoe hawa [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 kaniboaa mnooo.
Shenzi sanaaa UK atoke alfu tumtizame Nani muarabu gani [emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…