Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap watapitia uholanz Kisha marekani watachukuwa ndege nyingine had Mexico Kisha watafute nyingine had Peru Kisha wakamate train had kwao ecardo[emoji41]Nadhani Ecuador wameshaanza Safari yao manake kwao Ni mbali kdgo ukiilinganisha na Wales.
Kilikuwa cha nne kile
Hali vip uko babu Niko na UK Happ mdg mdg leo DStv wameniktiliHawa USA wafunge bao la pili watu tujue moja
Mpaka wafike, fainali zimeisha. Watarudj nyumbani kama washindi.Yap watapitia uholanz Kisha marekani watachukuwa ndege nyingine had Mexico Kisha watafute nyingine had Peru Kisha wakamate train had kwao ecardo[emoji41]
Watakutana kwenye roundi ya 16, Netherlands watakiwasha na U.S.A
OhWamefuzu next stage
kama uingereza(England) anashinda hii gemu atakutana nao
Watandikane apatikane mmoja[emoji23]
🤣🤣🤣🤣! Jamani 😁😁😁Nadhani Ecuador wameshaanza Safari yao manake kwao Ni mbali kdgo ukiilinganisha na Wales.
Kumbe upo unatuderee haya niambie upo upande gani najuwa unawapendelea wazungu [emoji23][emoji1022] wananiuzi mnoooo, kwann wanakubali kuburuzwa na 2nd wakoloni? Aaaaah wananikera sanaaa
Yaah Hali kadhalika nao Iran na Qatar siyo mbali Sana dkk25 tu kwa pipa wamo kwao kuendelea na maandamano yasiyo ishaaa[emoji23]Mpaka wafike, fainali zimeisha. Watarudj nyumbani kama washindi.
Kabisa sio kwahio route 🤣🤣🤣😁😁Mpaka wafike, fainali zimeisha. Watarudj nyumbani kama washindi.
Team yangu ni [emoji629].Kumbe upo unatuderee haya niambie upo upande gani najuwa unawapendelea wazungu [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaah Hali kadhalika nao Iran na Qatar siyo mbali Sana dkk25 tu kwa pipa wamo kwao kuendelea na maandamano yasiyo ishaaa[emoji23]
Tuwatakie safari nyema wenzao Iran wanakah karibu sanaKabisa sio kwahio route [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]
Shenzi sanaaa UK atoke alfu tumtizame Nani muarabu gani [emoji57]Team yangu ni [emoji629].
Ila leo nlitaka [emoji1022] awatoe hawa [emoji1022] kaniboaa mnooo.