Huku UK tayari faster kina Aron na bale wanakwenda kuandaa mabegiSaizi wamepoa ile mikiki imepungua
Bora waandamanaji kuliko Machoko wanaotifuana tope.Waongeze plz Ni dhambi Sana kufungwa na wandamanaji [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapana dada hawana ikitoka hyo imeisha hyo Iran atarudi kwao na ndege ya saa 12:00 am kwenda kwao kesho kuendelea na maandamano
Huku bado dakika 6Huku UK tayari faster kina Aron na bale wanakwenda kuandaa mabegi
Source utaskia TBCIran kafuzu
[emoji1787][emoji1787]Source utaskia TBC
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaah Wales nao faster tu kesho hawatakiwi kuonekana Qatar
Watengeneza drones wameshindwa kabisa kuchomoa?Upinde wa mvua wamepaki Basi.
[emoji16][emoji16][emoji16]Source utaskia TBC