Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Rais wa FIFA, Infantino yupo uwanjani akifurahia burudani safi ya mabingwa tarajiwa.

Anaangalia namna ya kunong'onezana na wachezaji atakavyokuwa anawavalisha medali za dhahabu.

Utasikia anamwambia Rashidi, ile tobo ulifanya sifa na wewe. Wachezaji wawili? Hahahahaha
Ndoto zingine za kipumbavu USA tu umesare nae unawaza ubingwa?
 
Back
Top Bottom