Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nilikuwa sielewi.
Kumbe kila kundi wamecheza mechi 4

Mechi zitakazofuata ni za makundi.
Kundi A&B

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums 0imobile app
Mechi tatu.

Wawili wa kwanza wanasonga mtoano. Wawili wa chini wanarudi kuangalia kama sisi. Yaani ni mashabiki tayari.

Kuanzia mtoano ni mechi moja moja. Ukipigwa unaondoka haraka sana.
 
Hee
Moja moja?

Eti waliotolewa ni mashabiki tayar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mechi tatu.

Wawili wa kwanza wanasonga mtoano. Wawili wa chini wanarudi kuangalia kama sisi. Yaani ni mashabiki tayari.

Kuanzia mtoano ni mechi moja moja. Ukipigwa unaondoka haraka sana.
Iran tayari ni mshabiki aliyeongezeka

Japo nafahamu hata iweje hakuna atayeishabikia USA
 
Mechi tatu.

Wawili wa kwanza wanasonga mtoano. Wawili wa chini wanarudi kuangalia kama sisi. Yaani ni mashabiki tayari.

Kuanzia mtoano ni mechi moja moja. Ukipigwa unaondoka haraka sana.
Kbsaa bas wakuuu tukutane kesho mida na wakt Kama huu tukiwa na timu zetu za mfukoni tuzichambue Kama hz za leo
Tulivyo zipopoma

By the way Tunisia kina nabi wako na wafaransa saaa 12:00 saa za Africa mashariki [emoji41]

Alamski
 
Boss mbona wewe leo ni tope, kutifuana na upinde tuu, wenzako nini? ongea football kidogo
Upinde imekuuma mimi kuwataja wenzako Eeh? Hao waliokua wanaongelea maandamano yenyewe ni football hiyo? Acha double standard za kijinga,

Kingine fuatilia comment zangu humu utaona kama sijaongelea football,halafu punguza kujipendekeza.
 
Back
Top Bottom