Mkuu tokeo huko vip bado dakk ngapi mnkSource utaskia TBC
Upinde wamebana hawataki Iran achomoe.Watengeneza drones wameshindwa kabisa kuchomoa?
Ziliongezwa dk ngapi? Mbona kwa Live score naona 90 +8 ?Bado dakika 3
USA washindwe wao tu kushikilua bomba
Faster Sana wapoteew mapema mfalme wa Qatar hataki kumuona mtu ngozi nyeupe[emoji23][emoji23][emoji23]
Qatar kunavyovutia wanaondoka mapema hivi dah[emoji3064]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
9Ziliongezwa dk ngapi? Mbona kwa Live score naona 90 +8 ?
[emoji23][emoji23][emoji23] acha ijinga babuUpinde wamebana hawataki Iran achomoe.
Ndoto zingine za kipumbavu USA tu umesare nae unawaza ubingwa?Rais wa FIFA, Infantino yupo uwanjani akifurahia burudani safi ya mabingwa tarajiwa.
Anaangalia namna ya kunong'onezana na wachezaji atakavyokuwa anawavalisha medali za dhahabu.
Utasikia anamwambia Rashidi, ile tobo ulifanya sifa na wewe. Wachezaji wawili? Hahahahaha
Imagine Portugal vs Brasil kwenye mtoano wa kwanza. Yaani Brazil awe number moja hapa halafu Portugal awe number mbili kwenye kundi lao.