Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Robo mkuu sio round of 16, na hio Robo yenyewe walikaza sana wakatolewa kwa goli la dhahabu na MansizAliou Cisse:
Kafika round ya 16 WC kama mchezaji(2002) na kama kocha(2022) wa Senegal
Tupongeze mafanikio haya
Kitasa bure?
Kila kundi mechi 3 mkuu, mechi zinazofuata ni mtoano hadi fainali. Ukipigwa unarudi nyumbani.Nilikuwa sielewi.
Kumbe kila kundi wamecheza mechi 4
Mechi zitakazofuata ni za makundi.
Kundi A&B
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kila kundi team 4 kila team inacheza mechi 3Nilikuwa sielewi.
Kumbe kila kundi wamecheza mechi 4
Mechi zitakazofuata ni za makundi.
Kundi A&B
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mechi tatu.Nilikuwa sielewi.
Kumbe kila kundi wamecheza mechi 4
Mechi zitakazofuata ni za makundi.
Kundi A&B
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums 0imobile app
HeeMechi tatu.
Wawili wa kwanza wanasonga mtoano. Wawili wa chini wanarudi kuangalia kama sisi. Yaani ni mashabiki tayari.
Kuanzia mtoano ni mechi moja moja. Ukipigwa unaondoka haraka sana.
Boss mbona wewe leo ni tope, kutifuana na upinde tuu, wenzako nini? ongea football kidogoUpinde wa mvua wamepaki Basi.
Moja moja. Ukipigwa kwaheri.
US wa moto. wanaupiga kama dada zao.Ndoto zingine za kipumbavu USA tu umesare nae unawaza ubingwa?
Iran tayari ni mshabiki aliyeongezekaMechi tatu.
Wawili wa kwanza wanasonga mtoano. Wawili wa chini wanarudi kuangalia kama sisi. Yaani ni mashabiki tayari.
Kuanzia mtoano ni mechi moja moja. Ukipigwa unaondoka haraka sana.
Kbsaa bas wakuuu tukutane kesho mida na wakt Kama huu tukiwa na timu zetu za mfukoni tuzichambue Kama hz za leoMechi tatu.
Wawili wa kwanza wanasonga mtoano. Wawili wa chini wanarudi kuangalia kama sisi. Yaani ni mashabiki tayari.
Kuanzia mtoano ni mechi moja moja. Ukipigwa unaondoka haraka sana.
Upinde imekuuma mimi kuwataja wenzako Eeh? Hao waliokua wanaongelea maandamano yenyewe ni football hiyo? Acha double standard za kijinga,Boss mbona wewe leo ni tope, kutifuana na upinde tuu, wenzako nini? ongea football kidogo
Bora umuambieee.Boss mbona wewe leo ni tope, kutifuana na upinde tuu, wenzako nini? ongea football kidogo
Nisingekukuta huku leo unaishabikia Ihefu ya mbele ningejiuliza umekipeleka wapi,USA baby 🇺🇸
Labda kama umeanza angalia mpira juziUS wa moto. wanaupiga kama dada zao.
We choko unajileta sio?Bora umuambieee.
Ofcoz umeongelea football sanaUpinde imekuuma mimi kuwataja wenzako Eeh? Hao waliokua wanaongelea maandamano yenyewe ni football hiyo? Acha double standard za kijinga,
Kingine fuatilia comment zangu humu utaona kama sijaongelea football,halafu punguza kujipendekeza.
Mambo kama haya yalifanyika Chamazi ikawa gumzoDakika ya 100.
Mpira kwisha.