Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tiba ipi?
Unajua mwenyewee, huna furaha na maisha yako? Mbna uko bitter sanaa? Wee kila kitu kuhusu mie lazima u hate, kheeeh una shida gan na mie?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeee.
 
Nilikuwa sielewi.
Kumbe kila kundi wamecheza mechi 4

Mechi zitakazofuata ni za makundi.
Kundi A&B

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Anne vp tena! Kila kundi zikiwa timu 4 na zikacheza mechi 4 si maana yake kila timu itajicheza yenyewe kwa yenyewe, hii inawezekanaje kwa ulimwengu huu wa nyama na mifupa?
 
USA jana wameupiga mwingi sana gafla nimejikuta nawashangilia yule dogo ao kiungo namba nane ni bonge moja la mchezaji aseee awa jamaa wakiendelea na project Yao yakuwekeza Kwa vijana Kuna timu za ulaya hazitwakamata
Yap anaitwa weston Mckenzie miaka 24 yupo juventus alaf dogo no 6 yusuf musah yupo Valencia miaka 20, USA wana project nzuri sana
 
Anne vp tena! Kila kundi zikiwa timu 4 na zikacheza mechi 4 si maana yake kila timu itajicheza yenyewe kwa yenyewe, hii inawezekanaje kwa ulimwengu huu wa nyama na mifupa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nachanganya sana hii mizunguko.

Bora hata nimeulizwa,sitaki kuachwa njiani.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…