Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

wakishua Hello from rashfordπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Karibu old Trafford πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwamba hamjamuona le Capteeeeeen Jordan Henderson anavyotoa pasi zinazopelekea assist za magoliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huyo Rashford amefunga Kwa juhudi zetu Wana Liver.
Viva Le capteen
Viva TAAπŸ”₯πŸ”₯

Nasema uongo wakishua ?
 
Subiri kwanza tumalize somo 🀣🀣🀣
 
Aaah mpira magoli aliyefunga anapokea sifa zoteeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwamba hamjamuona le Capteeeeeen Jordan Henderson anavyotoa pasi zinazopelekea assist za magoliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huyo Rashford amefunga Kwa juhudi zetu Wana Liver.
Viva Le capteen
Viva TAAπŸ”₯πŸ”₯

Nasema uongo wakishua ?
 
Senegal akitulia anamtoa England tena mapema kabisa, waingereza zaidi ya hype wanayopewa na media na pundits wao kina Gary, Shearer na Co hawana cha maana. Wanapigika tu!!
Una hakika akina TAA
Foden
Grealish
Rashford hawana Cha maana?🀣
 
andika kama unamtag mtu kisha post halafu rudi kuedit toa jina weka neno unalotaka mfano utatoa the happiness kisha unaweka auntie
Nifundishe kufanya hivyo kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…