Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kulikuwa na Lampard, Gérard, Owen, Ferdinand..kizazi kilikuwa na futbolaz wazuri individually kuliko hiki, walifika wapi...uingereza ni kichwa cha mwenda wazimu kama tizii tu!!
Wa vipaji.. samaleko ✋!!
Yeah wa zamani ilikua noma sana zaidi ya hawa wa sasa!!
 
Jamani wadau humu cocastic ni mdada mbona mnamvalia njuga kuwa ni upinde??? Ila ana roho ngumu kukaa tuu kupokea matusi yy anajichekea zake tuu yani anawachoraaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nimecheka sanaaa,

sasa dear hata ikiwa kweli upindee, kwan nimewahi kuwaomba wao wani inamishe? Au kuwasumbua? Wao ndo wanahangaika na mie,

Tena nikiwapaga vibuti huko PM, wanakimbilia huku kunitukanaaa, weraaaaaaaah!!! Sijataka tyuuh kuwaumbua watu, mbna watu watabadili ID kwa lazimaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtu ana hangaika na mie, kukunjwa 7 nikunjwe mie maumivu anaskia yeye, utadhan natumia kitobooo chakee, maajabu hayaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umaskini na kukosa furaha ya maisha wanataka kupumzikia kwangu, akuuuuuh mie sio shida zangu. Life fupi hili na enjoy mwenyeweeeeee.

We live at once.!!!! Burudaaaaaaniiiiiii.
 
Punga huyo!
Nilitaka nishangaeee wee baba km sio babuu usi comment, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Maana unavyonipendaaa na kunikubaliiiiiiiii.

Ila unajifanya kuwa bitter kwangu, vipi unaumia na kukataliwaaa? Hebuu nipisheeeee mie. Mxxcieeeeeeew.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…