ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kulikuwa na Lampard, Gérard, Owen, Ferdinand..kizazi kilikuwa na futbolaz wazuri individually kuliko hiki, walifika wapi...uingereza ni kichwa cha mwenda wazimu kama tizii tu!!Una hakika akina TAA
Foden
Grealish
Rashford hawana Cha maana?[emoji1787]