Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Bora hao wanatoa Ratiba huku wanajikatia.

Kunaaeneo wanakata umeme Hadi wiki Acha Ujinga

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Goooooooooooollll,[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Reactions: Lee
Mkuu Ina maana hujaona kwenye watu waliotumia kupima offside mbele Yao kilikuwa na mchezaji wa Qatar? Hii offside kiufupi sijaielewa
Hapo kipa anahesabiwa kama defender na huyo beki anahesabiwa kama mchezaji wa mwisho (kama kipa tuseme)

Kuna kitu kizuri najaribu kukueleza ila nakosa namna nzuri ya kukiwakilisha, uniwie radhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…