Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nmependa mlivyomkaliza france
Hata hivyo nimewapenda ufaransa. Wamejitahidi kutuachia chance sana ili tu tuondoke kiheshima. Na watunisia leo hawajalia..maana wamekufa kiume. Jana Ecuador na Valencia wao waliliaa hatari. Sisi na goli tunalo...na tena tuna point nne. Mnyama Qatar jana kasepa.na 0
 
Kasepa na zero[emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Yaani humu Ufaransa kuna waafrika kuliko hata Tunisia sasa huyu Steve Mandanda si awaachie tu ndugu zake ili wapite....
Kaachia kweli ila haikuwasaidia Tunisia zaidi ya kuweka rekodi ya kushinda mechi moja world cup tena kuwafunga mabingwa wa dunia
Kashiriki mara sita na leo hii hiui ndio game yao ya kwanza kushinda na ndio maana wameshangilia kweli refa alipobatilisha bao la Antonie Griezman
 
Kocha mjinga sana! Au atakuwa anahofia kimo cha Lewandowski kitamsumbua..
Kahofia mipira ya juu na Poland wazr sana waref na leo Silaha yao kubwa zidi yetu itakua iyo mipira ya set pieces... CUTI Romero mzr mkuu na amerud kwny match fitness na ndo alikua 1st 11 kabla ya injury Pa1 Martinez yuko poa sana lkn Romero na Otamendi ndo partnership yetu kwa mda mref.

Vamonos [emoji1033]
 
Huu mpira kila siku wanaongeza visheria vyao vidogo vidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…