Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kweli duniani huwezi kufahamu yote maana kwenye anga zako hua unaelezea kwa kina kabisa
Hapana mzee hapa wanatuchanganya yaani beki aumenye mpira udomdoke mbele yangu uniambie tena kuwa nipo offside
 
Pulga hata ukimuangalia unaona kabs kajichokea
Jamaa akiamua anaupiga mwingi sana yule Poland wakikaa vibaya watapigwa na kitu kizito

Cha muhimu inabidi wawe brave washambulie wakianza ile michezo ya kupaki bas kama Mexico utaskia tu mesiiiiiiiiii
 
Uwe unaelewa,muda huo huo Saudi anacheza na Mexico. Ni wapi nimesema Saudi anacheza na Argentina ?
Asa Argentina akishinda na saudia akashinda wote wana Qualify yaani wanajipambania wao akuna anaemtegemea mwenzake
 
Hapana mzee hapa wanatuchanganya yaani beki aumenye mpira udomdoke mbele yangu uniambie tena kuwa nipo offside
(Kwa elimu yangu ndogo)Sheria ya offside inasema kuwa kama mchezaji alikua nafas ya offside na mpira ukapigwa hatakiwi kuinterfere na mchezo

Pale griziman hakutakiwa kuugusa mpaka mchezaj mwingine aliyekua onside augu
 
Asa Argentina akishinda na saudia akashinda wote wana Qualify yaani wanajipambania wao akuna anaemtegemea mwenzake
Ukiona ninaombea Saudi aqualify na nimemtaja Messi.Ujue the other way around is true.Bibafsi ninatamani kuona Poland na Saudi wanaqualify.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…