Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina mbovu Poland wa kawaida mno boss
Unaweza dhania mashabiki ndio wanaomtegemea Messi kwenye kupata matokeo lakini huwezi amini hata wachezaji wenzake wote wanamuangalia yeye

Anacheza vizuri ila this time tunataka tushuhudie vipaji kutoka kwa watu wengine wapya ambao hawakuwahi kujulikana

Tunataka ushindani kama huu sio ile bonanzs ya ufaransa na tunisia
 
Mini ni team Argentina lakini to be honest to myself nilivowaona since game ya kwanza nilijua Hamna kitu pale ni wabovu, hawana mpira wa kuforce kutafuta matokeo hususani wakiwa wamepakiwa basi ndio huwa hawana ujanja kabisa.....

Na akimaliza 2nd position basi France atatufunga si chini ya goal tatu knock out stage....

Kiufupi nipo nao ila najua kuendelea kwake kwa stage za huko mbele ni bahati na sio uwezo maana hana na WC huwezi fika mbali kwa bahati hiyo haipo....

Akipakiwa basi hana penetration pass wala nini....hivi Paul dyabara ni majeruhi???
 
Hawa marefa hawaeleweki

Maana hata hii penalti ya messi haieleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…