Haswa nitakataaje sasa mimi ni nani nipinge wema wa Mungu?Nimekuvutaaaa umevutikaa
Tumempiga Brazil [emoji1054] tukabeba Copa America Tukampiga Italy [emoji634] tukabeba Conmebol Cup tukaenda 36 games unbeaten bro what are you talking about?upo serious wewe?Argentina [emoji1033] kufungwa na Saudi Arabia ni Argentina [emoji1033] Alidharau game na ni mbaya sana kudharau game huyo unayemsema ni mkubwa kwetu nani?England?France?matako yako
🤣🤣🤣endelea kuichukia. Walikufanyajeeee??Mm naichukia Argentina [emoji34][emoji34]
Ndo anaenda kucheza na ufaransa huyuHawa poland watolewe tuu sasa mpira gani huu wanacheza hapa...wanatumalizia umeme tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani Argentina akitoka akapigwa 3 kavu nitafanya sherehe
Wee huyu mgonjwa kitandani ata ihefu wanajipigia tuu. Watu wamegusa mpira mara tatu kwenye penati box ya argentina.Kubqbababake si ulisema Argentina hakuna kitu
Kbsa huku robo fainal ndyo timu za maana kbsa hukoWababe wenzake ataanza kukutana nao robo na nusu fainali
Hawa usiangaike nao watu wa cr7 na wa Brazil ndo maadui ze2 wakubwa wanatuombea njaa kila mda wanapiga dua za kuku.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]endelea kuichukia. Walikufanyajeeee??
Timu inayocheza nayo Argentina "Poland" ni DHAIFU saaaana, tunza huu ujumbe utaufufua Argentina atakapopigwa kwenye hatua za mtoano au robo fainal.
Wakigusa mpira dk 1 washapotezaaWee huyu mgonjwa kitandani ata ihefu wanajipigia tuu. Watu wamegusa mpira mara tatu kwenye penati box ya argentina.
Kocha mjinga huyu levadonski sio mtu wakukaba dakika 90.
Huyu martinez nae anazingua angewapiga bao la tatu awatoe tuu
Hao sisi tukiwaongeza Poland goal.Mexico wakipata Goli moja wanaenda
Kabisa ufaransa robo ameshaiona. Hawa hamna kitu na hii ni kocha na upuuzi lakini wanawachezaji wakuchezaNdo anaenda kucheza na ufaransa huyu
Atacharazwa viboko mpaka aite maji mma
Huo ni utabir wa robo fainalHuu utabiri wako ulikuwa usingizini?
Mbona dakika ndefu hawa sekunde 20 tuuWakigusa mpira dk 1 washapotezaa
Matusi siyo tiba, uwe na adabu we dogo wa miaka ya 80 kwa mimi Baba yako wa miaka ya 1970.Tell her
Hahah hakika watakua wanaomba sisi tunaendelea kusonga mbele.Watu wa [emoji304] kabisa ndo watuonee gere?? Sie twasongaaa
Piga hao vibonde Ila Argentina hana maisha marefuSafari ya kwenda wapi. Kwa huu mziki Australia akipona ni kala goli 4