Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tumempiga Brazil [emoji1054] tukabeba Copa America Tukampiga Italy [emoji634] tukabeba Conmebol Cup tukaenda 36 games unbeaten bro what are you talking about?upo serious wewe?Argentina [emoji1033] kufungwa na Saudi Arabia ni Argentina [emoji1033] Alidharau game na ni mbaya sana kudharau game huyo unayemsema ni mkubwa kwetu nani?England?France?matako yako

Achana na hao haters, they know nothing about Argentina.

Vamos Argentina🤍[emoji170]
 
Maadui Pa1 wamenuna sisi ndo LA Albiceleste[emoji1033]

Mpr tumecheza mwng sana, huyu Poland sijui tu kwnn had ss hatujamfunga hata 4 au 5 had ss

Vamonosssssssss [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
 
Kubqbababake si ulisema Argentina hakuna kitu
Wee huyu mgonjwa kitandani ata ihefu wanajipigia tuu. Watu wamegusa mpira mara tatu kwenye penati box ya argentina.

Kocha mjinga huyu levadonski sio mtu wakukaba dakika 90.
Huyu martinez nae anazingua angewapiga bao la tatu awatoe tuu
 
Timu inayocheza nayo Argentina "Poland" ni DHAIFU saaaana, tunza huu ujumbe utaufufua Argentina atakapopigwa kwenye hatua za mtoano au robo fainal.

Ajentina uingereza na brazil ndio anapewa nafasi ya ubingwa msimu huu

Ngoja tuone kama yaliyomo yamo

Mashabiki lazima wavimbe wakiona wanashinda

Let them enjoy while it lasts
 
Wee huyu mgonjwa kitandani ata ihefu wanajipigia tuu. Watu wamegusa mpira mara tatu kwenye penati box ya argentina.

Kocha mjinga huyu levadonski sio mtu wakukaba dakika 90.
Huyu martinez nae anazingua angewapiga bao la tatu awatoe tuu
Wakigusa mpira dk 1 washapotezaa
 
Yaani kweli wajomba zangu ndio wanaenda kulala sas HV

Nimezam kucheki litimu langu la rsa wamefurushwa 2 kavu
Sokapoahapa
 
Back
Top Bottom