Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tatizo mnabonga vitu negatives, games ngapi za Argentina umezifatilia kabla ya WC???

Acheni blah blah!

Hap Brazil unnaowasema final ya WC lini walikuepo??

Kumbuka unamuongela Argentina 2014 alikuwa Final vs Germany.

France 2018

Hao spain mwisho 2018

Unbeaten run 36 games isn’t a joke

Yani asilimia kubwa ya haters wa Argentina ni hao kina Penaldo fans[emoji16][emoji16][emoji16]

Mnataka kusema Portugal yenu inaenda kuchukua WC??

Hold my beer[emoji16]
Sijasema me Portugal... unbeaten hata utopolo walikua nayo... We hata Senegal humuwezi ujue basi tu umepata kundi rahiiiisiiiii
 
Sijasema me Portugal... unbeaten hata utopolo walikua nayo... We hata Senegal humuwezi ujue basi tu umepata kundi rahiiiisiiiii
Tatizo washabiki wa ajentina kila mtu asiye shabiki wao wanamuona ni ureno

Wakati ureno wenyewe hata round of 16 hawavuki

Kuhusu swala la penalty

Hawajaona leo messi alivokimbilia penalty ya mchongo na kuikosa?
 
BF96A027-FAB6-47F1-879C-249FE5893F44.jpeg
 
Back
Top Bottom