Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #12,861
Na anavaa kitambaa...Kumbe na wee umemuona 🤣🤣🤣🤣 hii timu mdebwedo kabisa. Hazard anaitwaje kwenye timu wakati madrid hachezi.
Yale yale ya kim kumuacha mpole bench na kuanza na msuva ambaye hana timu. Makocha nao wanazingua kweli