Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kumbe na wee umemuona 🤣🤣🤣🤣 hii timu mdebwedo kabisa. Hazard anaitwaje kwenye timu wakati madrid hachezi.
Yale yale ya kim kumuacha mpole bench na kuanza na msuva ambaye hana timu. Makocha nao wanazingua kweli
Na anavaa kitambaa...
 
Argentina akifika fainali najipiga Ban Jf kwa mwezi mmoja..
2B721720-D86E-4C9E-80B5-691AB144660B.jpeg
 
Kesho Morocco kushinda ni lazima, Canada hawana timu ya kuisumbua Morocco
Kitendawili kipo kwa Belgium na Croatia
Kuna kila dalili Croatia akilaa kwa shida 1-0 na hivyo Morocco kuwa top of the group akifuatia Belgium

Group E naona Spain akimfunga Japan na Germany akimfunga bao nyingi Costa Rica
Na hivyo Spain akiwa top of the group akifuatiwa na German
Round of 16 matches
Spain vs Belgium
Morocco vs German
 
TUNAKUMBUSHANA TU ARGENTINA MARA YA MWISHO ANACHUKUA KOMBE LA DUNIA HAKUNA HUMU ALISHUHUDIA
VIVA AUSTRALIA [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Miaka ambayo Argentina alibeba ndoo...hali hii ilitokeaView attachment 2432024
Mkuu unataka kusema hizi statistics hazina mchango 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Messi has taken 137 penalties for club and country across his glittering career, with 106 scored and 31 missed, including the latest in the 2022 World Cup against Poland. That's a 77 percent success rate


It's even uglier, however, in his World Cup career. Messi's penalty attempt against Poland was his third in a World Cup, and he's only scored one, which came in the 2-1 defeat to Saudi Arabia earlier this tournament. He also missed one in the 2018 World Cup in a 1-1 draw with Iceland in the group stage.
 
Back
Top Bottom