Tumekoma[emoji119]Mpira dk 90.
Endeleeeni kuwaombea Argentina mabaya maana maombi yenu mabaya yanawafanya wajitahidi watoboe
Sijasema me Portugal... unbeaten hata utopolo walikua nayo... We hata Senegal humuwezi ujue basi tu umepata kundi rahiiiisiiiiiTatizo mnabonga vitu negatives, games ngapi za Argentina umezifatilia kabla ya WC???
Acheni blah blah!
Hap Brazil unnaowasema final ya WC lini walikuepo??
Kumbuka unamuongela Argentina 2014 alikuwa Final vs Germany.
France 2018
Hao spain mwisho 2018
Unbeaten run 36 games isn’t a joke
Yani asilimia kubwa ya haters wa Argentina ni hao kina Penaldo fans[emoji16][emoji16][emoji16]
Mnataka kusema Portugal yenu inaenda kuchukua WC??
Hold my beer[emoji16]
Alikua wapi...mpaka dkk ziongezwe ndo afunge??Asa saudi wamefunga ili😂
Lewandowski akawaadhibu wafaransa🤪🤪Asa saudi wamefunga ili😂
Tatizo washabiki wa ajentina kila mtu asiye shabiki wao wanamuona ni urenoSijasema me Portugal... unbeaten hata utopolo walikua nayo... We hata Senegal humuwezi ujue basi tu umepata kundi rahiiiisiiiii
Jezi hizi zilikuwa kali kinyama.[emoji2772]View attachment 2432003
Kisenge yaaniJezi hizi zilikuwa kali kinyama.
Hii ilikuwa expectedTumefuzu kama kinara wa kundi...Argentina🔥🔥
Walikosea walipotoa droo na polandKwaiyo Mexico na kujitahid kote...wametoka???? Useless
From zero to heroTumekoma[emoji119]
Belgium hamna kitu, watawekwa na Croatia mbayaaa!Yaani unaweza shangaa kesho Belgium akapita Moroco akaaga. Ila kesho Belgium vs Croatia itakuwa moto.