Baada ya kuwa wa kwanza kwenye CONCACAF.Canada walifikaje kwenye haya mashindano?
Unatumia Google pixel ngapi?Baada ya kuwa wa kwanza kwenye CONCACAF.
View attachment 2432827
Yaani football ya cheating inaudhi.Hapa Croatia walicheat kabisa. Thank God kuna VAR.Ila usomaji wa VAR nao unategemea na kocha .Refer penalt ya Messi jana na goal la Griezman.Afadhali limekataliwa
Yah VAR inategemea na utashi wa refaYaani football ya cheating inaudhi.Hapa Croatia walicheat kabisa. Thank God kuna VAR.Ila usomaji wa VAR nao unategemea na kocha .Refer penalt ya Messi jana na goal la Griezman.
Penalty haijawa overturned sababu haikua halali ila sababu ya offsideYaani football ya cheating inaudhi.Hapa Croatia walicheat kabisa. Thank God kuna VAR.Ila usomaji wa VAR nao unategemea na kocha .Refer penalt ya Messi jana na goal la Griezman.
Screenshot ya kawaida tu hiyo, hiyo pixel hata sijui ni ngapiUnatumia Google pixel ngapi?
Lazima watinge .Tena wataongoza group.Morocco wakishindwa kutinga 16 watajilaumu sana, hata wakitoa Sare wanapita. Na hapa tayari wanaongoza goli 2
Hili bara mkuu wengi wachovu tu, Canada ni mchovu kushinda hata Qatar, Costa rica ndo huyo alipigwa 7, Mexico Out tayari na Usa ndo hivyo tia maji tia maji.Baada ya kuwa wa kwanza kwenye CONCACAF.
View attachment 2432827
Eeh! Ushampa Namba Moja Kabisa SpainIla Morocco bora wawe wa kwanza.Maana wakiwa wa pili wanakwenda kutana Na Spain.
Kwanini wasiige mkunjo wa Casemiro?Bongo hua tunaiga staili za nywele na majina tu
Canada [emoji1063] Nasikia Hata Ligi Nchini Kwao HakunaHili bara mkuu wengi wachovu tu, Canada ni mchovu kushinda hata Qatar, Costa rica ndo huyo alipigwa 7, Mexico Out tayari na Usa ndo hivyo tia maji tia maji.
Wapunguziwe Timu moja iletwe Africa.