Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Canada walifikaje kwenye haya mashindano?
Baada ya kuwa wa kwanza kwenye CONCACAF.
Screenshot_20221201-181919.jpg
 
Yaani football ya cheating inaudhi.Hapa Croatia walicheat kabisa. Thank God kuna VAR.Ila usomaji wa VAR nao unategemea na kocha .Refer penalt ya Messi jana na goal la Griezman.
Penalty haijawa overturned sababu haikua halali ila sababu ya offside
 
Back
Top Bottom