Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wanaupiga mwingi mkuu (rekodi yao ni semi final wc2018, fainali euro2020)

Sio wa mchezo mchezo

Mimi sio shabiki wao

Ila wana uwezo mkubwa wa kucheza na timu hizo kubwa na kuoata matokeo

Ila tuone mechi yake na Senegal tutajua zaidi
England wana Mpira wa Mdomoni sana na wakishinda hili utakumbushwa miaka milioni moja ijayo kama vile mpaka leo wanakumbushia 1966 yaani kwenye uzi wao wana nyota moja tu hata Euro hawajawahi kuipata;

Na hio World Cup walishinda wakiwa kwao baada ya kufanya umafia kwa kubadilisha game lao na Portugal yenye Mtaalamu wao kutoka Msumbuji (Eusebio - The Black Panther) Hii Portugal ndio ilikuwa timu Bora kipindi hicho
 
Green Beret

Huyu ndio mtaalamu Eusebio bila Figisu za England wakiwa kwao huenda mpaka leo wangekuwa hawajawahi kushinda Kombe lolote la kimataifa (eti Football is Coming Home.....)

Green Beret

Huyu ndio mtaalamu Eusebio bila Figisu za England wakiwa kwao huenda mpaka leo wangekuwa hawajawahi kushinda Kombe lolote la kimataifa (eti Football is Coming Home.....)

England walifanya figisu nyingi sana ili watwae WC ya 1966 katika ardhi ya nyumbani. Walihamisha mechi yao ya nusu fainal dhidi ya Ureno masaa 24 kabla ya mechi. Hiyo ni baada ya Ureno kusafiri kutoka London kwenda Jijini Liverpool huko Merseyside na walipofika wakaambiwa warudi London mechi itapigwa Wembley sio tena Goodison Park
 
In short vigisu zilikuwa mwanzo mwisho hata kwa Europeans teams kwa mabara mengine pia

Already Brazil had been knocked out of the tournament in the group stage. Their best player, Pelé, was kicked so much in the first game against Bulgaria (“I think every team will take care of him in the same manner,” said their coach) that he could play no part in the second, a 3-1 defeat by Hungary when Brazil had two goals disallowed, and he then spent much of the third as a virtual spectator after Portugal’s João Morais fouled him and, when he tried to get up and play on, fouled him again a bit harder. Morais was not cautioned. Brazil’s first game had been refereed by a West German, the other two by Englishmen.
Yaani hawa jamaa / Hooligans wanajifanya Gentlemen wakati ushindi wao ulikuwa ni wa figisu mwanzo mwisho (ila huwezi kusikia Muingereza anaongelea haya)..., Ni kulaani tu Goli la Mkono la Armando Diego Maradona
 
Kuna mdau alitupia mchanganuo wa TBC kuonyesha mech tafadhar atume tena au leo game ip itaonyeshwa na muda gan??

IMG_6252.jpg
 
Suarez kasema sio shida zake Ghana kukosa Penalty 2010 kwhy hawez kuomba radhi hata iweje,kasema Leo kwny Press conference yao.

Ghana wakitk kulipa kisasi ni kuwatoa tu Uruguay basi.
Yaani aombe radhi kwa kuipa nchi yake nafasi / chance ? Alishapata Hukumu yake ambayo ni Kadi nyekundu..., hao watu wanaolaumu huku ni hypocrites kusahau hand of god za kina Diego au England walivyochukua Kombe kwa Umafia...

Lawana ziende kwa Asamoah Gyan.....
 
Hakika mwnyw sioni sabb za yy kuomba radhi nafas walipewa penalty wakapaisha.

Kama wanatk kulipa kisasi wamtoe Uruguay.
 
Back
Top Bottom