vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Hawajapewa waliahidiwa wakiingia mtoano wanapeww zawadi ya gari kila moja ila aina ya gari haikutajwa
Siunajua wabongo kww kueneza ujinga
Siunajua wabongo kww kueneza ujinga
Hivi zile Rolls Royce kweli walipewa, mbona kama warabu watakuwa vichaa sana wa matumizi. Unatoaje mzigo kama huo kizembe namna ile