Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Hongereni tuone mbele hukoUsjali cc France tunaibeba tena hii.. nilitamani hao Tunisia wasonge mbele ila ndo hvyo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongereni tuone mbele hukoUsjali cc France tunaibeba tena hii.. nilitamani hao Tunisia wasonge mbele ila ndo hvyo...
Hongereni sis!! Huku umeme ishakua shidaUmeme ukikatwa hauchukui nusu saa kwa eneo naloishi mimi ila nadhani..Dom.nzima haina shida
Amina mkuuHongera mkuu tuendelee kuomba bahati ibaki upande wa Agentina [emoji120]
Kwa Senegal atapita, lakini kwa wakubwa wenziye sidhani kitu kama hicho Chifu [emoji87]Wanaupiga mwingi mkuu (rekodi yao ni semi final wc2018, fainali euro2020)
Sio wa mchezo mchezo
Mimi sio shabiki wao
Ila wana uwezo mkubwa wa kucheza na timu hizo kubwa na kuoata matokeo
Ila tuone mechi yake na Senegal tutajua zaidi
That was my point when Poland alikuwa anaongoza kundi.Ipo hivi kulingana na WC bracket. Argentina anakutana na runner wa kundi B ambae ni Australia na akipita hapo ,robo fainali atakutana na mshindi kati ya (Uholanzi vs USA),hapa kote bado Argentina ni strong kwa hao.Kwa hiyo mechi ambayo itakuwa ngumu kwa Argentina ni nusu fainali ambapo kuna uwezekano kukutana na Brazil/ Spain kwa sababu hizi ndo team ambazo zinaweza mpa game tough Argentina. So Argentina kukutana na ufaransa ni labda fainali huko!.View attachment 2432037
Walishavuka si umeona kikosi walichokipangaUfaransa hawaamini macho yao
Daaah poleni sana aiseeeHongereni sis!! Huku umeme ishakua shida
Hao bookies hawajanunua game nyinginezo? Hivyo vitu vimekaa kidhahania zaidi
Final tena!Mwenye muendelezo wa hii Chart mpaka Final Naomba atume
Sisi middle class wazee wa FTA tujue ni mechi ngap tutaangalia nyumbani na ngap tutaenda kuangalia BARView attachment 2432482
Sent using Jamii Forums mobile app
We hujaelewaFinal tena!
Nani anajua sasa
Sawa mkuuThat was my point when Poland alikuwa anaongoza kundi.
Ni kweli hii michezo ipo hata jana France wamechezea watu akili
Kuna mdau alitupia mchanganuo wa TBC kuonyesha mech tafadhar atume tena au leo game ip itaonyeshwa na muda gan??