Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Za ndaaaani! Ile game ya kwanza bookies waliinunua kwa million dollars za kutosha, kabla hata ya game kuna mshkaji wangu aliniambia yupo huko abroad.

Na tena nikaja kuona tena dark web kuwa bookies walishafanya yao.

Mara ya tatu, kuna uzi fulani humu JF kuna mtu tena alitoa tahadhari watu wasimpe direct win Argentina.

Nilipata ukakasi na sikuamini kabisa, nikasema nijaribu ngoja nimpe Saudia ushindi na alikuwa na odds za kutosha mnoo.

Najuta niliweka pesa kidogo[emoji16][emoji16][emoji16]

Niliamini ile habari after game, bookies wameharibu sana football nowdays.

Kwa akili ya kawaida ni ngumu sana mtu kuamini.
Uongo mtupu
 
Ni kweli hii michezo ipo hata jana France wamechezea watu akili
 
A true leader
emoji122.png
emoji122.png
emoji122.png
emoji122.png
View attachment 2432147
Messi anampenda sana huyu dogo naona hata pasi nyingi alikuwa anamuwekea huyu
 
Kocha wa Agentina sio mzuri kwenye kuchagua kikosi
Wait what?Unaeza niambia kwa nini jana kaanza Alvarez baada ya lautaro au enzo fernandez pale kati? Vipi kuhusu subs zake,zinamlipa? Scaloni ni tactician mzuri tu!.Kama unawafatilia Argentina huyo martinez hakuwa starter kwenye CB pairing ya Argentina.Martinez hata asipo anza still Argentina defensively wapo compact sana.
 
Back
Top Bottom