Amejifunga mtuNdio wameruhusu goal la kwanza tangu waanze.
Kwasasa ni Brazil [emoji1054] pekee ndio hajaruhusu
Sio kwamba kaupisha huo mpira au sijaona vzrRefa kaionea Morocco...goli halali
Wapo seriousInaonyesha Morroco mwaka huu ndio timu ya africa iliyojipanga zaidi
Mchezaji mmoja kiherehere kaotea.Refa kaionea Morocco...goli halali
Natamani Uruguay tuwachape sana.Cameroon kashatoka hawezi shinda kwa Brazil akijitahid sana sare. Na wasiwasi na Ghana atamfunga Uruguay??
Wameonewa hakuna cha offside yoyote ktk highlights reviewMchezaji mmoja kiherehere kaotea.
Na moja ya timu yao bila shaka ni ile Vancouver White Caps aliyowahi kuchezea Mtanzania Nizar Khalfan.Huwa wanacheza Usa kama Vile timu za wales zimavyocheza EPL.
Ila amesema ukweli.
Kwny dressing room tu majuz hapa Wamegombana, na wanaitana wazee. [emoji23]Belgium [emoji1045] kama angekuwa hataki kushiriki world Cup amekuja kufanya nini?ni kama wamelazimishwa team Belgium [emoji1045] ya sasa ni tatizo
Yah upo sawa haikuwa offside isipokuwa yule bwana kuupisha mpiraSio kwamba kaupisha huo mpira au sijaona vzr
Timu Ina Mgogoro Mkuu, Timu Ikishakuwa Hivi Hutoboi, Hata Uwe na Wachezaji Wenye Class Kubwa Kiasi GaniBelgium [emoji1045] kama angekuwa hataki kushiriki world Cup amekuja kufanya nini?ni kama wamelazimishwa team Belgium [emoji1045] ya sasa ni tatizo
Mls ina team 3 za canadaMbona wana ligi yao, hawako MLS
Kwamba Sinza inaviwanda na makazi zaidi ya Dodom yote??Umeme unaotumika sinza ndo matumizi ya Dodoma nzima.
Wakikaa vibaya linarudi lile MojaMorocco wameanza vibaya second half. Mhuuum.