Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Cameroon kashatoka hawezi shinda kwa Brazil akijitahid sana sare. Na wasiwasi na Ghana atamfunga Uruguay??
Natamani Uruguay tuwachape sana.

Ona Suarez ambapo anavyotukejeli
IMG_20221201_154844_092.jpg
 
Belgium [emoji1045] kama angekuwa hataki kushiriki world Cup amekuja kufanya nini?ni kama wamelazimishwa team Belgium [emoji1045] ya sasa ni tatizo
 
Belgium [emoji1045] kama angekuwa hataki kushiriki world Cup amekuja kufanya nini?ni kama wamelazimishwa team Belgium [emoji1045] ya sasa ni tatizo
Timu Ina Mgogoro Mkuu, Timu Ikishakuwa Hivi Hutoboi, Hata Uwe na Wachezaji Wenye Class Kubwa Kiasi Gani
 
Back
Top Bottom