Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Jmn naomba mtupe matokeo, mana tanesco wanatuonea tu kila siku kukata umeme
 
Kwamba Sinza inaviwanda na makazi zaidi ya Dodom yote??

Aliyenipa hizi stats ni mtu wa Tanesco ila tukija kuangalia idadi za hotel zilizopo sinza ni kubwa kuliko dodoma, tuje idadi ya lodge, kumbi za sherehe?? Tuje tuangalie idadi ya Bar, lounge, viwanda, maofisi, tuje kwenye frem za Biashara. Makazi ya watu kila nyumba. Na hapo matumiz ya fan na AC yapo juu.
 
Canada wanaitafuta goli, hawa Morocco [emoji1173] wajitizame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…