OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Hongera Mkuu kama Ulifikia Hizo Level [emoji1]Uyo jamaa unavyomuona ni Mimi enzi zangu[emoji16]
Nani atatufunga?that's why Chelsea mnagongwa sana season hii imagine mlitoa hela ya kumnunua LukakuYani ajentina naona kabisa robo fainali ndio itakuwa mwisho wao
Upiga sana mkuuHongera Mkuu kama Ulifikia Hizo Level [emoji1]
Yeah uyo uyo mtu kaziHapa anazungumziwa amrabaat nini?
Kakosa goal la wazi.Hivi chelsea walitoaje paund milioni 90 kumnunua Lukaku!
Mwenyewe nilishangaa mtu mzito vileHivi chelsea walitoaje paund milioni 90 kumnunua Lukaku!