Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mm ni ujeruman Ila ujeruman Leo anaaga mashindano
Wewe sio mtabiri wala mchambuzi mzuri wa michezo
Angalia UJerumani anacheza na nani (Nguvu na udhaifu wa Costa Rica)
Pia angali Japan anacheza na nani? Spain ana pts 4 hizo hazitoshji kumpa usalama, Costa Rica na Japan wakishinda Spain anaachwa na hayuko tayari kufanuya hivyo. So Spain leo lazima amfunge Japan na Ujerumani ni lazima amfunge Costa Rica, Mpira unamalizwa kwa staili hiyo
  1. Spain pts 7
  2. German pts 4
  3. Japan pts 3
  4. Costa Rica pts 3
Unataka nini zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…