ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,337
- 7,593
Ndio tabia za freemason hizo [emoji23][emoji23][emoji23]Huyu raisi wa fifa nimemuona kwenye game ya Morocco sasa hivi tena namuona kwenye game ya Ubelgiji. Imekuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tabia za freemason hizo [emoji23][emoji23][emoji23]Huyu raisi wa fifa nimemuona kwenye game ya Morocco sasa hivi tena namuona kwenye game ya Ubelgiji. Imekuwaje?
Baas wakazi wa Morroco kuelea posta tumefurahi sana kwa hawa vijana wetu.
Hata jana pia niliwapa pongezi wale jamaa wa Manzese Argentina
Anaangalia mechi zote,Huyu raisi wa fifa nimemuona kwenye game ya Morocco sasa hivi tena namuona kwenye game ya Ubelgiji. Imekuwaje?
Lukaku ni kibu denic wa ulaya
Mbona mnamshambulia sana,vp KDB wangu leo hajafanya maajabu?Lukaku ni kibu denic wa ulaya
Iyo mkuu kutokea itakua ngumu sana sana.Safi sana morocco
I wish wakutane fainal Morocco and Argentina [emoji1] though ni ngumu
Angalau ata alivyoingia yeye timu ilifukukaLukaku kawacost wenzie
Anaruka ruka tuuMbona mnamshambulia sana,vp KDB wangu leo hajafanya maajabu?
KDB ni kisinda wa ulaya hana maajabuMbona mnamshambulia sana,vp KDB wangu leo hajafanya maajabu?
Argentina wakipita 16 bora wanabadili na bendera? 😏Route to World Cup 2022 Final
View attachment 2432888
Brazil ipi aiseeHuyo huyo lukaku akikutana na brazili anawakalisha
Mm ni ujeruman Ila ujeruman Leo anaaga mashindanoRoute to World Cup 2022 Final
View attachment 2432888
Nilivoona kagongesha mwamba nkajua hapa hawatoboi tena.Lukaku kawacost wenzie
France anamfunge Spain?Route to World Cup 2022 Final
View attachment 2432888
Ilifufuka wapi? Jamaa mzito sana kazi kuachama achama tu na kushika kiparaAngalau ata alivyoingia yeye timu ilifukuka
siyo hyo tu..Kuna zingine kama mbili au moja alikua nyavuni kabisa.Nilivoona kagongesha mwamba nkajua hapa hawatoboi tena.
Sii angalau kaingia yeye boli lilibadilika kabla walikuwa wanarukanruka tuu.Ilifufuka wapi? Jamaa mzito sana kazi kuachama achama tu na kushika kipara
Wewe sio mtabiri wala mchambuzi mzuri wa michezoMm ni ujeruman Ila ujeruman Leo anaaga mashindano