Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Ni sahihi lkn WC hii ina surprise nyng sana na me naona asa izi team zinazopigiwa sana upatu kuna m1 lzm atashangazwa hapo arud nymbn na vilio.Ni kweli ila kwa hapa historia nayo inaanza kuchukua nafasi yake
Takataka.Spain yupo wing ya kulia bwana.Route to the World Cup 2022 Final
Updated
View attachment 2433071
Morocco vs SpainSema Morocco team 1 ya kimashindano sana wako vzr na organized mno.
Anayekutana naye round 16 anakaz maana Morocco wako very solid defensively.
Brazil mtoe hapo Comrade... ni mbwembwe tu! Hakuna kitu... Portugal, Argentina, england na France zinaweza kucheza fainali.Brazil
Portugal
England
Kwny hii betting yako umepatia kwa upande wa kulia kundi la France, France ataingia Fainali, ila kwa kushoto umechemsha Mzee...Argentina atafungwa na Nerthelands then Brazil atamfunga Spain....kisha Fainali zitaingia Brazil & France.Route to the World Cup 2022 Final
Updated
View attachment 2433071
Spain & Argentina hawafiki Fainali.Ni sahihi lkn WC hii ina surprise nyng sana na me naona asa izi team zinazopigiwa sana upatu kuna m1 lzm atashangazwa hapo arud nymbn na vilio.
Tutakuwepo mkuu hakuna neno.Spain & Argentina hawafiki Fainali.
Tupo hapa.
Naona inajirudia kama ile ya mwaka 2014... Spain wakabebwabebwa wakapewa ushindi kisa hao jamaa wanatokea Afrika na wana asili ya kiarabu, ila Spain alipigiwa mpira mwingi sana! Na alipigwa bao zaidi ya moja wakakataa mpaka Morocco walitaka kususia mechi watoke uwanjani. Naona yanajirudia yaleyale... hawa wazungu wanatengeneza mazingira tena kwa ajili ya maslahi/faida ya watu flani flani π€Morocco vs Spain
Wee...hiyo Brazil unayoiona hivyo itacheza Fainali na France au Portugal.Brazil mtoe hapo Comrade... ni mbwembwe tu! Hakuna kitu... Portugal, Argentina, england na France zinaweza kucheza fainali.
Amekuwa wa pili anahamia kushotoTakataka.Spain yupo wing ya kulia bwana.
Yaap, ndio maana hata timu za Africa na hizi za Asia kufika hapa ni kwa msaada wa VAR ya sasahv ambayo at least wameongeza ufanisiNaona inajirudia kama ile ya mwaka 2014... Spain wakabebwabebwa wakapewa ushindi kisa hao jamaa wanatokea Afrika na wana asili ya kiarabu, ila Spain alipigiwa mpira mwingi sana! Na alipigwa bao zaidi ya moja wakakataa mpaka Morocco walitaka kususia mechi watoke uwanjani. Naona yanajirudia yaleyale... hawa wazungu wanatengeneza mazingira tena kwa ajili ya maslahi/faida ya watu flani flani [emoji848]
Hao Brazil wako subiri wacheze tu na USA au England uone kama hamna kitu... wala tusifike mbali, Brazil akikutana na England hatoboi au USA kama hutaki ngoja wakutane utarudi kunikumbuka hapa πππΎWee...hiyo Brazil unayoiona hivyo itacheza Fainali na France au Portugal.
Brazil inazingua kwenye forward yake ila kiungo ni hatari na pia ni ngumu sana kufungwa (wana beki nzuri sana)
Tusubiri tuoneHao Brazil wako subiri wacheze tu na USA au England uone kama hamna kitu... wala tusifike mbali, Brazil akikutana na England hatoboi au USA kama hutaki ngoja wakutane utarudi kunikumbuka hapa [emoji2][emoji1474]
Brazil mtoe hapo Comrade... ni mbwembwe tu! Hakuna kitu... Portugal, Argentina, england na France zinaweza kucheza fainali.
Hao Brazil wako subiri wacheze tu na USA au England uone kama hamna kitu... wala tusifike mbali, Brazil akikutana na England hatoboi au USA kama hutaki ngoja wakutane utarudi kunikumbuka hapa πππΎ
Wala Forwad Brazil hawazingui watu wanaangalia mechi mbili tu za awali Yaan Switzerland haijawai fungwa na Brazil Kwenye kombe lolote la Dunia isipokuwa hili ni team ngumu ndo ili watoa hata Ufaransa Euro ,pili ukija Kwa Serbia ni wagumu sana Yaan Kwa kimombo tunasema wana timu bora sana katika Ulaya Kwa mwaka huuWee...hiyo Brazil unayoiona hivyo itacheza Fainali na France au Portugal.
Brazil inazingua kwenye forward yake ila kiungo ni hatari na pia ni ngumu sana kufungwa (wana beki nzuri sana)
Mbwembwe zingine banaWewe sio mtabiri wala mchambuzi mzuri wa michezo
Angalia UJerumani anacheza na nani (Nguvu na udhaifu wa Costa Rica)
Pia angali Japan anacheza na nani? Spain ana pts 4 hizo hazitoshji kumpa usalama, Costa Rica na Japan wakishinda Spain anaachwa na hayuko tayari kufanuya hivyo. So Spain leo lazima amfunge Japan na Ujerumani ni lazima amfunge Costa Rica, Mpira unamalizwa kwa staili hiyo
Unataka nini zaidi
- Spain pts 7
- German pts 4
- Japan pts 3
- Costa Rica pts 3