Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hahah amn mkuu.. Yan hawa Japan mpr wao discpline sana hivi vifala kwny kundi vinatk kutuonesha wao watafuzu kwa kuwa funga magiant tu[emoji23][emoji23].


Asee mpr ndo maana ni mchezo bora by far una twist and unexpected turns nyng sana.
Japan walikua moto 🔥🔥🔥🔥🔥 yaniii walichangamkaaaa walicheza Kweli kweli....walifurahisha mnoooo
 
That's why unashangilia Manchester City hatushangai ina maana kwa akili yako timamu Costa Rica angeshinda ingekuwaje?au unataka kusema Spain kamuhonga Costa Rica?hivi kwa nini baadhi yenu akili zenu mnaacha Toilet?
Yani akili kisoda kbs sijui huwaga wanawazaje
 
Yan kiherehere cha Germany ndo kimewaponza wao wangejua wenzao walikua hawasumbuki kbs na wao wangekufa nao ili wote waingie kwny headlines kua wametoka Pa1 na Belgium.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Germany alishinda mechi jana, ila kashindwa mashindano
 
Wee...hiyo Brazil unayoiona hivyo itacheza Fainali na France au Portugal.

Brazil inazingua kwenye forward yake ila kiungo ni hatari na pia ni ngumu sana kufungwa (wana beki nzuri sana)
Portugal acheze final?
 
Kwny hii betting yako umepatia kwa upande wa kulia kundi la France, France ataingia Fainali, ila kwa kushoto umechemsha Mzee...Argentina atafungwa na Nerthelands then Brazil atamfunga Spain....kisha Fainali zitaingia Brazil & France.

Tupo hapa
Unalazimisha kweli unachokiwaza kichwanu kiwe

Aya beti ivyo upate mabilioni
 
Pia, Favouritism ikitokea itaiua Ghana, kitu ambacho ni kibaya kwenye soccer. Hii Mechi itachezeshwa na Muamuzi kutoka ulaya, mostly Mjerumani au Mfaransa....ila unaweza ukaona wakiipendelea Uruguay
Akichezesha Mjerumani mbona atatuua kwa hasira za wao kutolewa
 
Mkuu hapa uliangukia pua sana.

Kiufupi ball haitabiriki aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…