adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Leo Korea wazee wa kumwaga moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni ramli auRoute to the World Cup 2022 Final
Updated
View attachment 2433071
Japan walikua moto 🔥🔥🔥🔥🔥 yaniii walichangamkaaaa walicheza Kweli kweli....walifurahisha mnooooHahah amn mkuu.. Yan hawa Japan mpr wao discpline sana hivi vifala kwny kundi vinatk kutuonesha wao watafuzu kwa kuwa funga magiant tu[emoji23][emoji23].
Asee mpr ndo maana ni mchezo bora by far una twist and unexpected turns nyng sana.
Yani akili kisoda kbs sijui huwaga wanawazajeThat's why unashangilia Manchester City hatushangai ina maana kwa akili yako timamu Costa Rica angeshinda ingekuwaje?au unataka kusema Spain kamuhonga Costa Rica?hivi kwa nini baadhi yenu akili zenu mnaacha Toilet?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yan kiherehere cha Germany ndo kimewaponza wao wangejua wenzao walikua hawasumbuki kbs na wao wangekufa nao ili wote waingie kwny headlines kua wametoka Pa1 na Belgium.
Hiyo ni option ya mwisho endapo ushindi ukigomaGhana katk kosa watalifanya kwend na Mentality ya Draw watatoka.. Wacheze kutafuta ushindi draw sio ki2 cha kutafuta sik zote utafungwa ubak unalia kama mbwa mwitu.
Portugal acheze final?Wee...hiyo Brazil unayoiona hivyo itacheza Fainali na France au Portugal.
Brazil inazingua kwenye forward yake ila kiungo ni hatari na pia ni ngumu sana kufungwa (wana beki nzuri sana)
Unalazimisha kweli unachokiwaza kichwanu kiweKwny hii betting yako umepatia kwa upande wa kulia kundi la France, France ataingia Fainali, ila kwa kushoto umechemsha Mzee...Argentina atafungwa na Nerthelands then Brazil atamfunga Spain....kisha Fainali zitaingia Brazil & France.
Tupo hapa
Ngoia mechi za leo ziishe na mimi nitatoa route yangu.Route to the World Cup 2022 Final
Updated
View attachment 2433071
Akichezesha Mjerumani mbona atatuua kwa hasira za wao kutolewaPia, Favouritism ikitokea itaiua Ghana, kitu ambacho ni kibaya kwenye soccer. Hii Mechi itachezeshwa na Muamuzi kutoka ulaya, mostly Mjerumani au Mfaransa....ila unaweza ukaona wakiipendelea Uruguay
Huwa anawacheka sana Barcelona wakipigwa na Bayern
Mkuu hapa uliangukia pua sana.Wewe sio mtabiri wala mchambuzi mzuri wa michezo
Angalia UJerumani anacheza na nani (Nguvu na udhaifu wa Costa Rica)
Pia angali Japan anacheza na nani? Spain ana pts 4 hizo hazitoshji kumpa usalama, Costa Rica na Japan wakishinda Spain anaachwa na hayuko tayari kufanuya hivyo. So Spain leo lazima amfunge Japan na Ujerumani ni lazima amfunge Costa Rica, Mpira unamalizwa kwa staili hiyo
Unataka nini zaidi
- Spain pts 7
- German pts 4
- Japan pts 3
- Costa Rica pts 3
Nop,angekuwa wa kwanza ndo angekuwa kushoto. Kawa wa pili yupo wing ya kulia.Amekuwa wa pili anahamia kushoto
Kimbembe kipo je Brazil atamtoa Argentina ?Kuna uwezekano Fainali ya 1998 kati ya France vs Brazil ikajirudia, lakini awamu hii Brazil hii hii akainua kombe juu.
Simply hawezi anapigagwa mnoKimbembe kipo je Brazil atamtoa Argentina ?
Argentina ana kazi ya ziada kwa Netherland huko kwa brazil ni mbali sana hawez kufikaKimbembe kipo je Brazil atamtoa Argentina ?
Katika mechi tatu za mwisho walizokutana..Simply hawezi anapigagwa mno