Oya kurlzawa ni wapi nimesema Korea wana beki kuliko Ghana asee...point yangu ni kwamba defence ya Ghana inaruhusu sana magoli japo na wao wanafunga ....na hicho ndio nikasema kinaweza wakost leoKwaiyo korea ndo wanabeki kuliko ghana?
Na ureno ayo mawili ghana walipataje.?
Illogical imeruhusu magoli je hawakushinda?Oya kurlzawa ni wapi nimesema Korea wana beki kuliko Ghana asee...point yangu ni kwamba defence ya Ghana inaruhusu sana magoli japo na wao wanafunga ....na hicho ndio nikasema kinaweza wakost leo
Shukran kiongozi
Shukran kiongozi
Thanks....!
A true leader [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 2432147
G.O.A.T[emoji16]
Argentina akifika fainali najipiga Ban Jf kwa mwezi mmoja..
Silva, Marquinhos, Fred, Casamiro, Sandro wote hao ni viungo wakabaji wa viwango na wapo faster sana kurudi na kudefend...labda Silva c'se hapandi sanaSilva na marquinhos??? Brazil wanabek mbovu sana ni vile hawajakutana bado na tim sumbufu Brazil limebaki jina tu.
Silva, Marquinhos, Fred, Casamiro, Sandro wote hao ni viungo wakabaji wa viwango na wapo faster sana kurudi na kudefend...labda Silva c'se hapandi sana
Binafsi katika Mashindano haya ya mwaka huu nimeona beki nzuri ni ya Brazil na Morocco
Kipindi hicho Marcelo kushoto, kulia Dani alves wote wanajua kupanda usiniulize kuhusu kushuka. Katikati anakaa David luiz anamaliza na Thiago Silva, kipindi Cha kwanza tano kweli mpira hauna adabu chochote kinaweza tokea.Hata kipindi kile mnakula 7 mlisemaga hivo hivo, mkaja kula saba Semi final.