Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kwaiyo korea ndo wanabeki kuliko ghana?

Na ureno ayo mawili ghana walipataje.?
Oya kurlzawa ni wapi nimesema Korea wana beki kuliko Ghana asee...point yangu ni kwamba defence ya Ghana inaruhusu sana magoli japo na wao wanafunga ....na hicho ndio nikasema kinaweza wakost leo
 
Mnaoona mechi ya Ureno aina umuhimu kumbukeni kama ghana akimfunga Uruguay goli kuanzia 3 na kuendelea uku korea akimfunga portugal goli 2 na kuendelea portugal atakuwa nafasi ya pili na ghana ataongoza kundi mahana yake ni kuwa mshindi wa pili ambae ni portugal atakutana na brazil ,sidhani kama kitu kama iko poetugal watakitaka kwenye hatua ya 16 bora[emoji1787]
 
Oya kurlzawa ni wapi nimesema Korea wana beki kuliko Ghana asee...point yangu ni kwamba defence ya Ghana inaruhusu sana magoli japo na wao wanafunga ....na hicho ndio nikasema kinaweza wakost leo
Illogical imeruhusu magoli je hawakushinda?

Defense ipi isiyo ruhusu magori?
 
Huyu refa anaechezesha game ya Cameroon vs Brazil si ndo alimpa penati ya magumashi Ronaldo na hakujishughulisha hata kuangalia VAR?
 
Huyu refa anaechezesha game ya Cameroon vs Brazil si ndo alimpa penati ya magumashi Ronaldo na hakujishughulisha hata kuangalia VAR?
 
Timu ya dunia inacheza dunia nzima mpka fifa wana furahi Brazil kucheza Cameroon mtatusamehe pira Brazilian hair pira sex mpka sasa hatujaruhusu hata goal la offside [emoji1054][emoji1054][emoji1054]
Tupeni kombe letu mapema [emoji91][emoji91][emoji91]
20221202_133031.jpg
 
Silva na marquinhos??? Brazil wanabek mbovu sana ni vile hawajakutana bado na tim sumbufu Brazil limebaki jina tu.
Silva, Marquinhos, Fred, Casamiro, Sandro wote hao ni viungo wakabaji wa viwango na wapo faster sana kurudi na kudefend...labda Silva c'se hapandi sana

Binafsi katika Mashindano haya ya mwaka huu nimeona beki nzuri ni ya Brazil na Morocco
 
Hata kipindi kile mnakula 7 mlisemaga hivo hivo, mkaja kula saba Semi final.
 
Hata kipindi kile mnakula 7 mlisemaga hivo hivo, mkaja kula saba Semi final.
Kipindi hicho Marcelo kushoto, kulia Dani alves wote wanajua kupanda usiniulize kuhusu kushuka. Katikati anakaa David luiz anamaliza na Thiago Silva, kipindi Cha kwanza tano kweli mpira hauna adabu chochote kinaweza tokea.
 
Back
Top Bottom