Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Oya kurlzawa ni wapi nimesema Korea wana beki kuliko Ghana asee...point yangu ni kwamba defence ya Ghana inaruhusu sana magoli japo na wao wanafunga ....na hicho ndio nikasema kinaweza wakost leoKwaiyo korea ndo wanabeki kuliko ghana?
Na ureno ayo mawili ghana walipataje.?