Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tutaona ila hao alister ni bure
 
Sa izo si ni mbinu za uchezaji mkuu huoni kama iliwasaidia wao

Na huoni kama angeuacha mngefaidika nyie wa ghana ( mngefuzu wao wakabaki)
Yeye alitakiwa kucheza na miguu Wala sio mikono, jamaa alitukosea Sana we acha tu
 
Nunez Darwin wakuchungwa, almanusura abadili ubao kama angeongeza umakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…