kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Tutaona ila hao alister ni bureUnapozungumzia Argentina katikati wana watu kama Paredes ,De paul ,Mac allister rodriguez na enzo fernandez ,kiungo pekee anaenza kikosi cha kwanza cha Argentina ni De jong tu ,the rest are averages.Na mind you Argentina wanatumia viungo watatu, in Midfield battle Uholanzi wata struggle kwa sababu ya messi kushuka chini na kuwa na viungo wa nne (diamond).Uholanzi wana team nzuri lakin sio ya kuisumbua Argentina.