Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Unapozungumzia Argentina katikati wana watu kama Paredes ,De paul ,Mac allister rodriguez na enzo fernandez ,kiungo pekee anaenza kikosi cha kwanza cha Argentina ni De jong tu ,the rest are averages.Na mind you Argentina wanatumia viungo watatu, in Midfield battle Uholanzi wata struggle kwa sababu ya messi kushuka chini na kuwa na viungo wa nne (diamond).Uholanzi wana team nzuri lakin sio ya kuisumbua Argentina.
Tutaona ila hao alister ni bure
 
Nunez Darwin wakuchungwa, almanusura abadili ubao kama angeongeza umakini.
 
Back
Top Bottom