Nashindwa kuelewa, sehemu ya kutoa pasi mtu anabutua. Nimeona hii tabia kwa ghana, senegal na cameroonMe nafikir binafs naanza kuelewa kwnn Waarabu wa kaskazini(Morocco&Co.) wanasema wao sio waAfrica asee me binafs naelewa..
Izi ngozi ze2 nadhan kwny mambo ya serious kbs uwa hatuko tyr kua serious enough.
Yan dah Mm kilicho nisikitisha zaid ni upigaji wa penalty kukosa kila mtu anaweza kosa hata Messi anakosa lkn ule upigaji wa Ayew asee ndo umenisikitisha zaid.Sie manyani tuu.
Sure
Yan izi team bas tu sina cha kusema mkuu.. Yan wana disappoint sana.Nashindwa kuelewa, sehemu ya kutoa pasi mtu anabutua. Nimeona hii tabia kwa ghana, senegal na cameroon
[emoji23] Yan kama ww ni mpinzan kama huna roho ya uvumilivu Suarez unapigana nae kbs anakera sana Yan ana maudhi sana hlf anajua mpr dah.Hivi Suarez kwao ni mtoto wa ngapi kuzaliwa? Mbona mlalamishi sana
Ayew akirudi ghana apigwe vibokooIle penat imewavuruga sn. Wametoka mchezoni kbs.
Amepiga penat kizembe sn, ameboa. Angewaachia wengine. Kwanza atoke tu mxiiiiuuuu zake ameniudhiYan dah Mm kilicho nisikitisha zaid ni upigaji wa penalty kukosa kila mtu anaweza kosa hata Messi anakosa lkn ule upigaji wa Ayew asee ndo umenisikitisha zaid.
Bora ile ya Asamoah uliona kbs alipiga lkn bht Mby ilicheza Besera.
WakomeeYaani...!!
Ghana wamepoteana sahii maskiini, wako very disappointed..!!
This is not healthy. Usiweke izi takataka moyoni. Angalia akitoka uyo Ghana si basi. Maana kiukweli hamna kitu anafanya. Life is too..sweet to be disappointed by the choices...fools makeYan mm siangalii kipindi cha pili. Roho inaniuma jmn
Izi team asee usiwe una invest sana hisia zako kuzishabikia ni team za ovyo.. Ni kama kumchukulia mtu dhamana kituo cha polisi na ndo sik iyo unamuona.Yan mm siangalii kipindi cha pili. Roho inaniuma jmn