Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hapa Ghana anaondoka na Korea Anaondoka
Screenshot_20221202-185022.jpg
 
Yan dah Mm kilicho nisikitisha zaid ni upigaji wa penalty kukosa kila mtu anaweza kosa hata Messi anakosa lkn ule upigaji wa Ayew asee ndo umenisikitisha zaid.

Bora ile ya Asamoah uliona kbs alipiga lkn bht Mby ilicheza Besera.
Amepiga penat kizembe sn, ameboa. Angewaachia wengine. Kwanza atoke tu mxiiiiuuuu zake ameniudhi
 
Back
Top Bottom