data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Kenge mmojA hivii...Nani kapiga penalty
Na tushanyukwa..
Nafikiri msforward wa Ghana ndo wamezingua Zaidi..Kipa wa Ghana kawa mpuuzi kama Mendy game ya kwanza ya Senegal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenge mmojA hivii...Nani kapiga penalty
Nafikiri msforward wa Ghana ndo wamezingua Zaidi..Kipa wa Ghana kawa mpuuzi kama Mendy game ya kwanza ya Senegal
Hata ukilia haisaidiiKuna somo kubwa hapa kwenye mchezo huu. Uruguay wameshinda lakini wametolewa wanalia, Ghana wametolewa na kufungwa lakini wapo peace tu. Fuccckin kabisa.
Karma babyNimefurahi kuona chozi la Suarez. Angalau apate uchungu pumbav
Kabisa..Moja ya mashindano bora kabisa ya kombe la dunia kuwahi kutokea....what a tournament
Ukisikia Mungu kaingilia kati ugomvi wao ndio hivi. Next time warudi kwenye normalization state😀FT
Ghana na urugual
Wameondoshwa wote mashindanonI